Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Anadai bado ana ndoto za kuwa mbunge na kilichomkwamisha ni Magufuli kupata asilimia chache za kura za urais ndio maana akashindwa, Magufuli angepata kura nyingi basi naye angekuwa mbunge wa viti maalum
Na zimegoma hasa!hahhaaaa....yaani huyu nae sasa hivi anatafuta kick zimegoma
laana ya mume inamtafuna alimkosea sana mmewe huyu dadaNa zimegoma hasa!
Hata mie nimeliona na kuliongelea kwenye uzi mmoja Wema atatimiza malengo yake CDM. Mnyukano uliopo CCM wa akina mama wenye majina makubwa na hili la kura linaathiri hawa wanaochipukia kupata nafasi.Hahaha mwenzie Wema amesoma upepo mapema, na yeye ajiongeze
Anadai bado ana ndoto za kuwa mbunge na kilichomkwamisha ni Magufuli kupata asilimia chache za kura za urais ndio maana akashindwa, Magufuli angepata kura nyingi basi naye angekuwa mbunge wa viti maalum
laana ya mume inamtafuna alimkosea sana mmewe huyu dada
Kweli kabisaHata mie nimeliona na kuliongelea kwenye uzi mmoja Wema atatimiza malengo yake CDM. Mnyukano uliopo CCM wa akina mama wenye majina makubwa na hili la kura linaathiri hawa wanaochipukia kupata nafasi.
huyo anamjaribu mkuu, anapata ujasiri wapi kusema alipata asilimia chache ya kura?hahahaha.Anadai bado ana ndoto za kuwa mbunge na kilichomkwamisha ni Magufuli kupata asilimia chache za kura za urais ndio maana akashindwa, Magufuli angepata kura nyingi basi naye angekuwa mbunge wa viti maalum
Itabidi akapupu ubungo sasa anachoshahahhaaaa....yaani huyu nae sasa hivi anatafuta kick zimegoma
huyu aliolewa na na mchezaji mpira wa Rwanda Hamadi Ndikuamana mkaka wa watu alikua anachezea Cyprus akamuona kwenye movie akampendakwani alifanyaje? na tripu zote za dubai?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itabidi akapupu ubungo sasa anachosha