Uwoya afunguka sababu ya kunyimwa ubunge na CCM

Uwoya afunguka sababu ya kunyimwa ubunge na CCM

Hata mie nimeliona na kuliongelea kwenye uzi mmoja Wema atatimiza malengo yake CDM. Mnyukano uliopo CCM wa akina mama wenye majina makubwa na hili la kura linaathiri hawa wanaochipukia kupata nafasi.
Punguza speed mkuu
 
Hawa wasanii wanaijua vizuri siasa au wanafikiria ndio sehemu rahisi ya kutoka?
 
Mbunge mtarajiwa hajui kuwa kura zinazodetermine idadi ya wabunge viti maalum ni za ubunge,sio za uraisi. Ndio maana CUF hawakuwa na mgombea urais ila wabunge viti maalum wanao kwa vile kuna majimbo CUF waliweka wagombea kwa ticket ya UKAWA
 
yani huyu malaya nae awe mbunge?
ataongea nin bungeni sasa?
 
huyu aliolewa na na mchezaji mpira wa Rwanda Hamadi Ndikuamana mkaka wa watu alikua anachezea Cyprus akamuona kwenye movie akampenda

Akamtumia Ray kumpata Uwoya mshikaji chenji ilikuwepo enzi hizoo...Irene akaingia 'kingi'wakafunga ndoa pale st Joseph ya kifahari mnoo...kumbe mdada wala hakumpenda mume akawa anakaa wiki mbili Cyprus,miezi miwili Tanzania mpk sita huku anafanya 'madanga'yake km kawaida mwisho wa siku mshikaji akajua akampigai simu padri kua ndoa nimevunja maana mdada uzinzi ulizidi

Wakarudiana kwa tiketi ya mimba akaa Cyprus akaja bongo kujifungua.
Yule mkaka mgogoro wa ndoa ukamuathiri kipaji chake akatemwa akarudi Rwanda ndo alipofulia na ndoa ikaota mbawa

Baadae wakarudiana Ila irene hakumpendaga huyu kaka walikua wanakaa wote sinza mwisho mshikaji akarudi kwao,akacheza movie ma Lucy Komba 'yasemekana katembea nae'ila mpk sasa hivi ndoa yao ni ya kwenye makaratasi Irene analiwa kama kawaida yule mkaka kabaki kulike picha IG tu
Bongo movie wengi wao ni wazee wa fursa,naona JPM amewabania awamu hii plus na season za kihindi za jerojero kuuzwa kama njugu basi bongo movie ndo dili hakuna tena,bora hata kipindi cha mkwere walikuwa wakiuza nyago kwenye kioo wakija uraiani wanakumbana na vigogo wanawalipia walau kodi za nyumba
 
Anadai bado ana ndoto za kuwa mbunge na kilichomkwamisha ni Magufuli kupata asilimia chache za kura za urais ndio maana akashindwa, Magufuli angepata kura nyingi basi naye angekuwa mbunge wa viti maalum





!
!
labda kupitia jimbo la wasanii mayala
 
Back
Top Bottom