Hapo kuna kaukweliTatizo LA hiyo nchi mnakubali kuongozwa na wehu sasa mpaka huyo nae anataka kuwa mbunge duh
Punguza speed mkuuHata mie nimeliona na kuliongelea kwenye uzi mmoja Wema atatimiza malengo yake CDM. Mnyukano uliopo CCM wa akina mama wenye majina makubwa na hili la kura linaathiri hawa wanaochipukia kupata nafasi.
Ajitangaze kuwa BASHITE anatumia cheti chake atatoka.hahhaaaa....yaani huyu nae sasa hivi anatafuta kick zimegoma
Teh, teh, tehMwambie hiyo 2020 hata udiwani wa viti maalum hapati maana kura zitakuwa chache zaid
[emoji23] umenchekesha usiku woteeAjitangaze kuwa BASHITE anatumia cheti chake atatoka.
Wala hatujali,watu tuko busy na maisha tu.Na zimegoma hasa!
Bongo movie wengi wao ni wazee wa fursa,naona JPM amewabania awamu hii plus na season za kihindi za jerojero kuuzwa kama njugu basi bongo movie ndo dili hakuna tena,bora hata kipindi cha mkwere walikuwa wakiuza nyago kwenye kioo wakija uraiani wanakumbana na vigogo wanawalipia walau kodi za nyumbahuyu aliolewa na na mchezaji mpira wa Rwanda Hamadi Ndikuamana mkaka wa watu alikua anachezea Cyprus akamuona kwenye movie akampenda
Akamtumia Ray kumpata Uwoya mshikaji chenji ilikuwepo enzi hizoo...Irene akaingia 'kingi'wakafunga ndoa pale st Joseph ya kifahari mnoo...kumbe mdada wala hakumpenda mume akawa anakaa wiki mbili Cyprus,miezi miwili Tanzania mpk sita huku anafanya 'madanga'yake km kawaida mwisho wa siku mshikaji akajua akampigai simu padri kua ndoa nimevunja maana mdada uzinzi ulizidi
Wakarudiana kwa tiketi ya mimba akaa Cyprus akaja bongo kujifungua.
Yule mkaka mgogoro wa ndoa ukamuathiri kipaji chake akatemwa akarudi Rwanda ndo alipofulia na ndoa ikaota mbawa
Baadae wakarudiana Ila irene hakumpendaga huyu kaka walikua wanakaa wote sinza mwisho mshikaji akarudi kwao,akacheza movie ma Lucy Komba 'yasemekana katembea nae'ila mpk sasa hivi ndoa yao ni ya kwenye makaratasi Irene analiwa kama kawaida yule mkaka kabaki kulike picha IG tu
Anadai bado ana ndoto za kuwa mbunge na kilichomkwamisha ni Magufuli kupata asilimia chache za kura za urais ndio maana akashindwa, Magufuli angepata kura nyingi basi naye angekuwa mbunge wa viti maalum
Ila wema ana uhakika anaweza kuwa mbunge 2020 kabisa
Heri yako wewe Mkuu hauhusiani na sisi wa huku nchini Mkuu.Tatizo LA hiyo nchi mnakubali kuongozwa na wehu sasa mpaka huyo nae anataka kuwa mbunge duh