Uwoya Asema yupo SERIOUS kuhusu mipango ya ndoa na Jaguar

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=1][/h]



Mwanadada Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa.
Akizungumza na Mpekuzi, Irene amesema mahusiano yake na Jaguar yapo japo hajafanya maamuzi ya kuolewa.

“Jaguar hakuja kuna vitu ambavyo vilitokea vikasababisha asije,”amesema mrembo huyo.

“Kila siku naongea naye na uamuzi wake upo pale pale. Mimi mwenyewe bado sijafanya maamuzi ya kusema niolewe lakini akija ndo tutaongea kila kitu.”

Haya hivyo Irene amesema hawezi kuzungumzia ndoa yake na mcheza soka wa Rwanda, Ndikumana waliyezaa naye mtoto mmoja aitwaye Krish.

“Sasa kuhusu hilo nisingependa kuliongelea, mimi nadhani sijui hata nisemeje, sipendi kuongelea mambo yangu binafsi.”
 
Au nna mikengeza naona yote hayo ni mambo yake binafsi!!!

Jaguar akimuoa huyu bongolala product ntamuona bonge la kilaza!!!!
 
uwoya anajua mwenyewe kilichomshinda kwa ndiku! ndoa kuvunjika si kitu rahisi kukitolea hukumu ya nani sababu
 
Mmmmmm,Jaguar mbona nuru ipo sidhani kama ana drum.

Hio sio habari ya kudhani....ndugu wa karibu alienda na jamaa ndio alikuwa mmiliki....baada ya hapo watu wanaanza kuokoka lakini maybe ametendewa muujiza ya Mungu mengi...ila nimeshangaa
 
Hio sio habari ya kudhani....ndugu wa karibu alienda na jamaa ndio alikuwa mmiliki....baada ya hapo watu wanaanza kuokoka lakini maybe ametendewa muujiza ya Mungu mengi...ila nimeshangaa

R.I.P Uwoya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…