Uwoya Asema yupo SERIOUS kuhusu mipango ya ndoa na Jaguar

Uwoya Asema yupo SERIOUS kuhusu mipango ya ndoa na Jaguar

Wapi warumi ? Nilikudokeza kuhusu hii relationship mwaka jana.. Sasa hivi ndo mambo yanapamba moto..

But Uwoya, damn too used.

brand *new* unampata wapi siku hizi ndugu??
 
Last edited by a moderator:
lita 20 kupima malaria?? wakati huo mwili unakuwa na lita ngapi, dertamine ndio kipimo kinachoaminika zaidi kushinda capilus

Hapana ELISA ndio ina high sensitivity and specifity .. determine Is nothing ... nlikuwa na mgonjwa determine negative ELISA ikasoma mzigo. .
 
Hapana ELISA ndio ina high sensitivity and specifity .. determine Is nothing ... nlikuwa na mgonjwa determine negative ELISA ikasoma mzigo. .

I know ELISA its final ila kuna iana ya virus ndio vinaletaga hilo zengwe, na ukichunguza utagundua ni ile type two ambayo hapa kwetu haipo sana, ni rare case hulazimika kwenda kwenye ELISA panapotokea mkanganyiko.
 
[h=1][/h]


Mwanadada Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa.
Akizungumza na Mpekuzi, Irene amesema mahusiano yake na Jaguar yapo japo hajafanya maamuzi ya kuolewa.

“Jaguar hakuja kuna vitu ambavyo vilitokea vikasababisha asije,”amesema mrembo huyo.

“Kila siku naongea naye na uamuzi wake upo pale pale. Mimi mwenyewe bado sijafanya maamuzi ya kusema niolewe lakini akija ndo tutaongea kila kitu.”

Haya hivyo Irene amesema hawezi kuzungumzia ndoa yake na mcheza soka wa Rwanda, Ndikumana waliyezaa naye mtoto mmoja aitwaye Krish.

“Sasa kuhusu hilo nisingependa kuliongelea, mimi nadhani sijui hata nisemeje, sipendi kuongelea mambo yangu binafsi.”
huyu muuwaji mkubwa , nadhani ana moto wa tanesco
 
Back
Top Bottom