Uwoya Asema yupo SERIOUS kuhusu mipango ya ndoa na Jaguar

Wapi warumi ? Nilikudokeza kuhusu hii relationship mwaka jana.. Sasa hivi ndo mambo yanapamba moto..

But Uwoya, damn too used.
 
Last edited by a moderator:
Kwan Kila Celeb Lazma Alazmishe Kuolewa Na Celeb Mwenzio.Mbon Hii Formula Inaonekan Haiwork Out Ktk Mahusiano Ya Maceleb Wengi Tu
 
Uwoya Akitaka Kuolewa Tena.Ni Lazima Atafute Mjane Mwenye Miaka 65.Aliefiwa Na Wake Zake Wawili.Aliewaoa Ktk Nyakati Tofauti.Hiyo Ndio Hadhi Yake Kwasasa.Nani Anataka Kuoa Kibibi.
 
ivi kuna staa kweli anataka kuoa huu mtumba wa grade ya mwisho!!!!
 
Dr Riwa na ZeMarcopolo hapo majibu ndio negative au Positive?

CC: flora msoffe

Hiyo test inaitwa 'Determine', ili itafsiriwe 'positive' inabidi vimistari viwili vya pink/nyekundu vijichore kwenye hivyo vibox viwili vyeupe (1st box ni test, 2nd box ni control). Ikitokea kamstari kamoja tu kwenye 'control' box basi ni 'negative'. Naona kuna kamstari kwa mbaali hapo kwenye control box, kama macho yangu yako sawa basi ni negative. Hata hivyo, inaonekaka hakuweka buffer kwenye test kit, hivyo unahitaji damu nyingi zaidi kutoa majibu ya uhakika, na hapo naona ni damu chache imetumika....I can say its 'inconclusive' test, ningependa kurudia kujiridhisha!
 
mi naona vimistari viwili eti au macho yangu yana chuki binafsi
 
Yan mtu kaonglea mambo yake binafsi kuhusu kuolewa na Jaguar..
Alaf anaulizwa kuhusu mtoto wake anasema hawez kuonglea mambo yake binafsi..
 
Miongoni mwa taasisi ilioshuka kiwango ni pamoja na hii ya ndoa watu wanaikoga na kujinasibisha nayo lakini matendo yanawaumbua.
 
hivi mambo binafsi ndio yanafananaje? manake huyu irene kanichanganya
 
Hayo mavipimo sio ya kuamini. Lukuvi alisema inahitajika damu Lita 20 kupima malaria

lita 20 kupima malaria?? wakati huo mwili unakuwa na lita ngapi, dertamine ndio kipimo kinachoaminika zaidi kushinda capilus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…