UWT ndio nini?

UWT ndio nini?

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,287
Reaction score
1,607
Ilianzishwa lini,
Malengo yake ni yapi?
Ni miongoni mwa vyama?
UWT?
 
Kuna UWT- Umoja wa Wanawake Tanzania, na UWT -Usalama wa Taifa. Wewe una maana ya UWT gani
 
UWT hicho chama kina hila balaa.
Zamani pale ilipo Airtel kulikua na hostel ya UWT kwa ajili ya wanawake wanaokuja semina na warsha na mafunzombali mbali Dar. Wanaume wengi walipona pale. Viongozi wa serikali nao walikua wanajiopolea wanawake washamba na kienyeji original kutoka mikoani.
UWT Dar walipogundua kwamba waume zao wanaponea pale UWT hostel Waka collude na mamlaka ya maji enzi hizo kabla ya dawasco, dawasa wasipeleke maji pale hostel. Aisee kumbe mwanamke bila maji hatamaniki especially wale kienyeji og.
 
Ngoja nikusaidie, zilianza 4 mwaka 1958. Kulikuwa ba TANU Youth League TYL, Tanganyika Parents Association TAPA, na UWT Umoja wa wanawake Tanganyika, na NUTA NTional Union ofTanganyika Workers. Mwaka 1977 majina ya kizungu yakafutwa tukawa na UMOJA WA VIJANA TANZANIA; UMOJA WA WAZAZI, na UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA. NUTA ikawa na katiba mpyana tumehuruikawa ni tradeunion JUWATA .
 
Wanajiita Umoja wa Wanawake Tanzania, naamini hili jina walitakiwa kulibadilisha baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza.

Sasa wanatakiwa wajiite Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania [ UWCT]
 
Back
Top Bottom