Ngoja nikusaidie, zilianza 4 mwaka 1958. Kulikuwa ba TANU Youth League TYL, Tanganyika Parents Association TAPA, na UWT Umoja wa wanawake Tanganyika, na NUTA NTional Union ofTanganyika Workers. Mwaka 1977 majina ya kizungu yakafutwa tukawa na UMOJA WA VIJANA TANZANIA; UMOJA WA WAZAZI, na UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA. NUTA ikawa na katiba mpyana tumehuruikawa ni tradeunion JUWATA .