Hamsini kwa Hamsini mnachangia kuidhofisha kama hamuwezi hata jitokeza mkawa wakali kuhusu usukani mlionao.
Hii ni turufu yenu ambayo Mungu aliwapa tangu March 2021.Hakuwambia sasa mshindwe ninyi Bali alisema naamuru na iwe hivi Hamsini kwa Hamsini.
Muna nafasi kubwa yakuandika historia kuwazidi ME kama mtasema hili hapana halileti sura nzuri huku nje.Mnawajibu wakukaa faragha na Mkuu wa nchi nje ya vikao vyenu vya kichama.
Upendo wenu kwake ndio mafanikio yenu.Hii kauli inaukweli wowote
"HUWA HAMPENDANI"