UWT taifa tunakwenda na Gaudentia Kabaka nafasi ya Mwenyekiti

UWT taifa tunakwenda na Gaudentia Kabaka nafasi ya Mwenyekiti

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
UWT TAIFA TUNAKWENDA NA Comred. GAUDENTIA KABAKA

Mchague GAUDENTIA M. KABAKA Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa

#Daraja Bora la Maendeleo ya Chama, Serikali na Wananchi.

IMG-20221116-WA0418.jpg
 
Mkuu unakwenda wapi na nani, kwa habari ya huyo uliyemtaja? Acha wafu wawazike wafu wao.

Pamoja na kuutambua uhuru wa mtu wa kikatiba katika kutoa maoni yake. Lakini pia hapa jukwaani tunahitaji mambo makubwa zaidi ya maoni kama haya ambayo umeyatoa.
 
UWT TAIFA TUNAKWENDA NA Comred. GAUDENTIA KABAKA

Mchague GAUDENTIA M. KABAKA Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa

#Daraja Bora la Maendeleo ya Chama, Serikali na Wananchi
Wanawake wampeleke wapi GAUDENTIA KABAKA Nafasi ya Mwenyekiti?

Amewafanyia nini UWT kwa miakamitano iliyopita?

Nina washauri wapiga kura UWT muepukeni huyu mama, kwani muda wote UWT wilaya na ngazi za chini hajawahi kufika huko, kiwasikiliza wanawake wala kuwapa mbinu za kujikomboa kimaisha.

UWT taifa fanyieni mabadiliko siku ya kura asubihi saa nne.

Akalime ili ajue uchungu wanawake wanaoupata hasa kipindi hiki cha mama samia.
 
UWT TAIFA TUNAKWENDA NA Comred. GAUDENTIA KABAKA

Mchague GAUDENTIA M. KABAKA Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa

#Daraja Bora la Maendeleo ya Chama, Serikali na Wananchi
Libibi limeexpire ndio liende wapi tena, Pelekeni kwenye kabati bibi lenu hilo.
 
Back
Top Bottom