TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake UWT inapenda kuutahadharisha Umma juu ya Uwepo wa kundi la wahalifu mtandaoni wanaotumia Vibaya Jina la Katibu Mkuu Ndg. Jokate Urban Mwegelo na kulihusisha na Huduma utoaji wa Mikopo ya bei Nafuu..
Taarifa hizo sio za kweli na Ni za Kupuuzwa mara Moja. Tunatoa Onyo kali kwa yeyote atakayebainika na kujihusiha na uhalifu huu wa mtandao , Hatua Kali za Kisheria zitachukuliwa Dhidi yao .
Ewe Mwananchi, usikubali Kutapeliwa.
Imetolewa na
Kitengo Cha Habari na Mawasiliano - UWT