Uyanga na Usimba unaigharimu soka letu,wapigaji penati wa IHEFU wamethibitisha hilo

Mlidhani tutatolewa! Hiv siku ile na Green Worriers Mkude alionesha mahaba wapi? Hatuwezi kutolewa na katimu ka daraja la 2 kama mikia!
 
Nimekuwa wa kwanza kutoa like, naamini kuwa usimba na uyanga ndiyo kifo cha soka Tz
Nashabikia simba ila sipendi huu upuuzi, ilivokuja azam nilihisi itasaidia kuua usimba na uyanga, lakini wapi
 
Usihusishe Simba na mambo ya kijinga,ile ni next level za TP Mazembe,Al Ahl, Esperance nk
 
Ooooh basi hata chirwa alionyesha u-ura siku yanga ilivyocheza na ura
 
Kwa nini usiseme wameonesha Usimba...!?

Yanga kama Yanga wenyewe hawataki kuendelea na nashindano hayo ya FA, lengo kubwa likiwa kuwekeza nguvu zao katika kufukuzia ubingwa wa ligi kuu na kuepuka kujichosha.

Isingekuwa mikwara ya TFF kutoa adhabu, yanga wako tayari kujitoa katika mashindano hayo.

Nakuambia hili nikiwa na uhakika..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…