Uyanga na Usimba unaigharimu soka letu,wapigaji penati wa IHEFU wamethibitisha hilo

Mlidhani tutatolewa! Hiv siku ile na Green Worriers Mkude alionesha mahaba wapi? Hatuwezi kutolewa na katimu ka daraja la 2 kama mikia!
 
Pasi ya kumung'unya maneno Uyanga na Usimba unai-gharimu nchi yetu kwenye tasnia ya mpira.

Wapiga penati 3 wa timu ya IHEFU bila kupepesa macho wameonyesha unprofessional behaviour kwa aliye angalia mikwaju ya penalty ,wachezaji 3 waliokosa penalty kwa upande wa IHEFU wameonyesha kabisa wamefanya makusudi kukosa penalty

Walipiga penalty laini tena kwa kuonyesha kabisa ,pasi na shake Uyanga na Usimba ndio chanzo cha haya

Aliyeenda kupiga penalty ya mwisho ya ushindi kwa upande wa IHEFU kasikitisha Uyanga na Usimba kauonyesha pasi na shaka penalty ulojo anapiga ,penalty ile iliyowapa ushindi Yanga mpigaji anaonyesha kabisa ana mapenzi na yanga penati kama ya mtoto wa miaka 6 .

Tubadilikeni jamani tuwe professional zaidi tukiwa kazini

Wasalaam
Nimekuwa wa kwanza kutoa like, naamini kuwa usimba na uyanga ndiyo kifo cha soka Tz
Nashabikia simba ila sipendi huu upuuzi, ilivokuja azam nilihisi itasaidia kuua usimba na uyanga, lakini wapi
 
Usihusishe Simba na mambo ya kijinga,ile ni next level za TP Mazembe,Al Ahl, Esperance nk
 
Ooooh basi hata chirwa alionyesha u-ura siku yanga ilivyocheza na ura
 
Pasi ya kumung'unya maneno Uyanga na Usimba unai-gharimu nchi yetu kwenye tasnia ya mpira.

Wapiga penati 3 wa timu ya IHEFU bila kupepesa macho wameonyesha unprofessional behaviour kwa aliye angalia mikwaju ya penalty ,wachezaji 3 waliokosa penalty kwa upande wa IHEFU wameonyesha kabisa wamefanya makusudi kukosa penalty

Walipiga penalty laini tena kwa kuonyesha kabisa ,pasi na shake Uyanga na Usimba ndio chanzo cha haya

Aliyeenda kupiga penalty ya mwisho ya ushindi kwa upande wa IHEFU kasikitisha Uyanga na Usimba kauonyesha pasi na shaka penalty ulojo anapiga ,penalty ile iliyowapa ushindi Yanga mpigaji anaonyesha kabisa ana mapenzi na yanga penati kama ya mtoto wa miaka 6 .

Tubadilikeni jamani tuwe professional zaidi tukiwa kazini

Wasalaam
Kwa nini usiseme wameonesha Usimba...!?

Yanga kama Yanga wenyewe hawataki kuendelea na nashindano hayo ya FA, lengo kubwa likiwa kuwekeza nguvu zao katika kufukuzia ubingwa wa ligi kuu na kuepuka kujichosha.

Isingekuwa mikwara ya TFF kutoa adhabu, yanga wako tayari kujitoa katika mashindano hayo.

Nakuambia hili nikiwa na uhakika..!
 
Back
Top Bottom