INAUZWA Uyole Hybrid UH 6303 - Mbegu bora ya mahindi ukanda wa juu siku zote.

Joined
Dec 12, 2017
Posts
17
Reaction score
12
RIETA SEED Tunakuletea Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303
Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe.
  • Mavuno mengi magunia 30 kwa eka.
  • Ni tamu kuchoma, hutoa unga mwingi.
  • Bei: sh 4,500 kwa kilo.
  • Unahitaji kilo 10 kupanda eka moja

Tupigie
0755325442
 
Ninaushuhuda na hiyo mbegu kwakweli ni nzuri sana kwamtu unaeuza mahindi kwa kilo hii sio yakukosa mana punje zake ningumu nanzito ,hapo kwene kutoa unga mwingi ndio usiseme ..
Mwanzo nilizani mashineni wananiibia pumba mana nikienda kusaga huwa nabeba pumba sasa nikajikuta napata pumba kidogo tofauti na mwanzo kuna siku nikauliza mbona napata pumba chache sana jamaa akanijibu we huoni unga unaoupata nimwingi Broh, mtu akitaka kupata unga mwingi aje namahindi kama haya sasa unakuta mtu anakuja namahindi yanakatika katika nakutoa pumba kibao alafu anakuambia nataka unga mwingi..
 
Mambo ya multiple ID haya. Anyway all the best.
 
Ahaa sawa mkuu. Hivi kwa heka wewe huwa unatumia kiasi gani cha mbolea?
Natumia mfuko mmoja tu wakilo 50 DAP yakukuzia na yakuzalishia pia natumia CAN kilo 50 japo watalam wanasema utumie kuanzia miwili yn yakukuzia 100+kg nayakuzalishia 100+Kg kwamatokeo bora zaidi..sema mimi huwa natanua mistari kwakuwa huwa napanda maharage humo humo
 
Okay, Vipi mavuno yako kwa msimu uliotumia ulifika wastani wa gunia 30 kwa eka. Kama Kampuni ilivyotuambia? Kama haukufanikiwa changamoto ilikua ni nn hasa?
 
Ninaushuhuda na hiyo mbegu kwakweli ni nzuri sana kwamtu unaeuza mahindi kwa kilo hii sio yakukosa mana punje zake ningumu nanzito ,hapo kwene kutoa unga mwingi ndio usiseme ..
Mwanzo nilizani mashineni wananiibia pumba mana nikienda kusaga huwa nabeba pumba sasa nikajikuta napata pumba kidogo tofauti na mwanzo kuna siku nikauliza mbona napata pumba chache sana jamaa akanijibu we huoni unga unaoupata nimwingi Broh, mtu akitaka kupata unga mwingi aje namahindi kama haya sasa unakuta mtu anakuja namahindi yanakatika katika nakutoa pumba kibao alafu anakuambia nataka unga mwingi..
Punje nzito na ngumu
 
Alaf bahati mbaya hata hiyo campuni iliyoleta hili bandiko hapa siifahamu mininachojua hizi mbegu zinazalishwa na TARI UYOLE. Minimeelezea tu kwa uzoefu wangu
Multiple ID 🤣🤣
Asante kwa ufafanuzi mzuri. Ni kweli mbegu hii imetafitiwa TARI Uyole. Na sisi tunayo bahati kuizalisha.
 
RIETA SEED Tunakuletea Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303
Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe.
  • Mavuno mengi magunia 30 kwa eka.
  • Ni tamu kuchoma, hutoa unga mwingi.
  • Bei: sh 4,500 kwa kilo.
  • Unahitaji kilo 10 kupanda eka moja

Tupigie
0755325442
Nina ekari kama 7 Suma nahitaji kupanda wiki ijayo nikupate wapi mdau
 
Back
Top Bottom