RIETA AGROSCIENCES LTD
Member
- Dec 12, 2017
- 17
- 12
Mambo ya multiple ID haya. Anyway all the best.Ninaushuhuda na hiyo mbegu kwakweli ni nzuri sana kwamtu unaeuza mahindi kwa kilo hii sio yakukosa mana punje zake ningumu nanzito ,hapo kwene kutoa unga mwingi ndio usiseme ..
Mwanzo nilizani mashineni wananiibia pumba mana nikienda kusaga huwa nabeba pumba sasa nikajikuta napata pumba kidogo tofauti na mwanzo kuna siku nikauliza mbona napata pumba chache sana jamaa akanijibu we huoni unga unaoupata nimwingi Broh, mtu akitaka kupata unga mwingi aje namahindi kama haya sasa unakuta mtu anakuja namahindi yanakatika katika nakutoa pumba kibao alafu anakuambia nataka unga mwingi..
Alaf bahati mbaya hata hiyo campuni iliyoleta hili bandiko hapa siifahamu mininachojua hizi mbegu zinazalishwa na TARI UYOLE. Minimeelezea tu kwa uzoefu wanguMambo ya multiple ID haya. Anyway all the best.
Sawa mkuu, je kuna haja ya kutumia mbolea ukipanda?Alaf bahati mbaya hata hiyo campuni iliyoleta hili bandiko hapa siifahamu mininachojua hizi mbegu zinazalishwa na TARI UYOLE. Minimeelezea tu kwa uzoefu wangu
Binafsi huwa sipandii mbolea,mbolea naweka yakishaota,naweka kisha napandishia udongo hii nikiuchumi zaidi kama mfuko wako upo vzr unapandia mboleaSawa mkuu, je kuna haja ya kutumia mbolea ukipanda?
Ahaa sawa mkuu. Hivi kwa heka wewe huwa unatumia kiasi gani cha mbolea?Binafsi huwa sipandii mbolea,mbolea naweka yakishaota,naweka kisha napandishia udongo hii nikiuchumi zaidi kama mfuko wako upo vzr unapandia mbolea
Natumia mfuko mmoja tu wakilo 50 DAP yakukuzia na yakuzalishia pia natumia CAN kilo 50 japo watalam wanasema utumie kuanzia miwili yn yakukuzia 100+kg nayakuzalishia 100+Kg kwamatokeo bora zaidi..sema mimi huwa natanua mistari kwakuwa huwa napanda maharage humo humoAhaa sawa mkuu. Hivi kwa heka wewe huwa unatumia kiasi gani cha mbolea?
Natumia mfuko mmoja tu wakilo 50 DAP yakukuzia na yakuzalishia pia natumia CAN kilo 50 japo watalam wanasema utumie kuanzia miwili yn yakukuzia 100+kg nayakuzalishia 100+Kg kwamatokeo bora zaidi..sema mimi huwa natanua mistari kwakuwa huwa napanda maharage humo humo
Punje nzito na ngumuNinaushuhuda na hiyo mbegu kwakweli ni nzuri sana kwamtu unaeuza mahindi kwa kilo hii sio yakukosa mana punje zake ningumu nanzito ,hapo kwene kutoa unga mwingi ndio usiseme ..
Mwanzo nilizani mashineni wananiibia pumba mana nikienda kusaga huwa nabeba pumba sasa nikajikuta napata pumba kidogo tofauti na mwanzo kuna siku nikauliza mbona napata pumba chache sana jamaa akanijibu we huoni unga unaoupata nimwingi Broh, mtu akitaka kupata unga mwingi aje namahindi kama haya sasa unakuta mtu anakuja namahindi yanakatika katika nakutoa pumba kibao alafu anakuambia nataka unga mwingi..
Multiple ID 🤣🤣Alaf bahati mbaya hata hiyo campuni iliyoleta hili bandiko hapa siifahamu mininachojua hizi mbegu zinazalishwa na TARI UYOLE. Minimeelezea tu kwa uzoefu wangu
Nina ekari kama 7 Suma nahitaji kupanda wiki ijayo nikupate wapi mdauRIETA SEED Tunakuletea Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303
Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe.
- Mavuno mengi magunia 30 kwa eka.
- Ni tamu kuchoma, hutoa unga mwingi.
- Bei: sh 4,500 kwa kilo.
- Unahitaji kilo 10 kupanda eka moja
Tupigie
0755325442
chukua namba zake jaribu kupiga,huyo hayajingia JF miaka mingi.Nina ekari kama 7 Suma nahitaji kupanda wiki ijayo nikupate wapi mdau