The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne wakiwemo wanawake wawili wa familia moja wafanyabiashara na wakazi wa Mponja - Uyole Jijini Mbeya na wanaume wawili akiwemo kondakta wa basi kwa tuhuma za kupatikana na shehena ya dawa za kulevya aina ya bangi yenyewe ujazo wa kilogramu 164 ikiwa imepakiwa kwenye masanduku ya nguo ikisafirishwa kutoka mkoani Mbeya kwenda majijini ya Dar es salaam na Dodoma.