Uyui secondary tabora boys 1994....1996

Uyui secondary tabora boys 1994....1996

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Bila kuwasahau Tabora girls...wakati wa joint mass.....mikusanyiko ya pamoja Disco la mchana ile saa nane nane kijua.....wapi chuo cha uhazili na Mirambo secondary...ya Kale dhahabu....good sweet memories....Tabora raha saanaaa.
Pia ni mkoa uliokuwa na mabinti wazuri.
 
tabora boys ulikuwa bweni gani wewe?,ruhinda,taifa huru,kimweri, agriculture,sina au milambo.napakumbuka madafu

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Unakumbuka yale mapicha ya wazungu yaliyotundikwa ukutani...wamevaa kaptula ......mmoja ana masikio makubwaa........na ule ubao wenye majina ya viongozi waliosoma pale....sijui kama bado upo?
 
Unakumbuka yale mapicha ya wazungu yaliyotundikwa ukutani...wamevaa kaptula ......mmoja ana masikio makubwaa........na ule ubao wenye majina ya viongozi waliosoma pale....sijui kama bado upo?
picha zilikuwa wapi au historical room,Mimi intake ya 2000 ndo naanza form one pale sijajua mkuu wewe wa lini pengine inawezekana wa kitambo

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom