Sina .......tabora boys ulikuwa bweni gani wewe?,ruhinda,taifa huru,kimweri, agriculture,sina au milambo.napakumbuka madafu
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Unakumbuka yale mapicha ya wazungu yaliyotundikwa ukutani...wamevaa kaptula ......mmoja ana masikio makubwaa........na ule ubao wenye majina ya viongozi waliosoma pale....sijui kama bado upo?tabora boys ulikuwa bweni gani wewe?,ruhinda,taifa huru,kimweri, agriculture,sina au milambo.napakumbuka madafu
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
picha zilikuwa wapi au historical room,Mimi intake ya 2000 ndo naanza form one pale sijajua mkuu wewe wa lini pengine inawezekana wa kitamboUnakumbuka yale mapicha ya wazungu yaliyotundikwa ukutani...wamevaa kaptula ......mmoja ana masikio makubwaa........na ule ubao wenye majina ya viongozi waliosoma pale....sijui kama bado upo?
ahaaaaaa mkuu inaonekana ulikuwa na jimama mitaa ya national wewe[emoji1787]Sina .......
Madafu Lofa mtafuta sifa yule
Zilikuwa kwa nje kwenye baraza yenye kuta za mawe......picha zilikuwa wapi au historical room,Mimi intake ya 2000 ndo naanza form one pale sijajua mkuu wewe wa lini pengine inawezekana wa kitambo
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha mbali sana kota za national...mzee kwilabya...masuke etcahaaaaaa mkuu inaonekana ulikuwa na jimama mitaa ya national wewe[emoji1787]
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app