FAJES
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 723
- 658
Kama tujuavyo kuwa mitandao ya jamii haswa "Jamii Forum " imekuwa ni mkombozi kwa kupata connections kutoka sehemu mbalimbali.
Hivyo, nawasogezea wote mlioko ndani ya Jiji la Mbeya huduma ya "connections" kati ya mnunuzi na muuzaji wa Gari ili kurahisisha ununuzi au uuzaji kwa haraka zaidi na kuokoa upotevu wa muda ili kuendelea na shughuli nyingine za uzalishaji mali.
Huduma hii imefanikiwa zaidi Jijini Dar es Salaam, ila iko nyuma sehemu za mikoani.
Hivyo basi, karibuni sana ili mpate huduma hii muhimu kwa wote mlioko Mbeya.
Utanipa Gari yako au Oda ya gari unayohitaji nami ntatumia nguvu ya mitandao ya jamii ili kurahisisha uhitaji wa huduma yako.
Gari itauzwa na kununuliwa kwa bei halisi ya muuzaji bila gharma ya udalali. Isipokuwa, muuzaji utachangia gharama kidogo tutakayokubaliana kwa ajili ya kukutangazia gari yako.
Taja aina ya gari na specifications unazohitaji. Muuzaji tuma picha zinazoweza kurahisisha gari yako kuonekana vizuri.
Karibuni sana.
Contact: 0620 53 80 81.
Email: [email protected]
MODEL: TOYOTA RAV 4, OLD MODEL
distance: 160,000 km
Cc: 1990
Location: MBEYA.
Transmission: Manual
Price: 7M
Engine Type: 3s
Haijawahi fanyiwa Overhaul
Gari haina tatizo lolote.
Call: 0620 53 80 81

Attachments
-
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.35.56.jpeg39.7 KB · Views: 49 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.36.20.jpeg65.2 KB · Views: 45 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.36.44.jpeg73.5 KB · Views: 52 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.37.23.jpeg67 KB · Views: 47 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.37.39.jpeg78.9 KB · Views: 57 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.38.09.jpeg89.7 KB · Views: 54 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.38.50.jpeg47.9 KB · Views: 57 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.39.15.jpeg95.4 KB · Views: 51 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.39.35.jpeg93.5 KB · Views: 45 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.40.35.jpeg106.6 KB · Views: 50 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.40.55.jpeg52.9 KB · Views: 44 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.41.18.jpeg60 KB · Views: 51 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.41.35.jpeg47.9 KB · Views: 47 -
WhatsApp Image 2018-09-29 at 21.37.02.jpeg67.1 KB · Views: 44 -
WhatsApp Image 2018-09-30 at 00.21.55.jpeg80.6 KB · Views: 47