mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Wewe ndo mana kuna uzi kule walitaka kuandamana ili tuu utoke 😁😁😁😁TISS nao watajifanya wanunuzi ili kuwadaka wanaosambaza kitamu cha Kabendera
Asante kwa taarifaTANGAZO LA KUUZA NA KUNUNUA NAFAKA
Kampuni ya Tanzania Precision Agriculture ( TAPA ) inakuletea fursa ya kuuza na kununua nafaka kama ifatavyo
ZINAZOHITAJIKA
1. TANI 100,000 ZA MAHINDI MEUPE ZINAHITAJI KWA BEI 600 KWA KILO
2. SOYA BEANS TANI 100 BEI 1700 KWA KILO
3. KARANGA NYEUPE TANI 2 ZINAHITAJIKA KWA BEI 2000 KWA KILO
MZIGO ULIOPO OFISINI.
( unahitaji wanunuzi)
1. KUNA UFUTA TANI 500 BEI 3500 KWA KILO
2. KUNA MAHINDI YA NJANO TANI 100 BEI 850 KWA KILO
3. Viazi mviringo gunia 100 bei 65 elfu
KWA MASAWILIANO ZAIDI PIGA
☎️ 0717639269
☎️0625702284
C E O TAPA
Kwa kweli inapendeza!
Huo mzigo wanaufuata wenyewe au unawapelekeaTANGAZO LA KUUZA NA KUNUNUA NAFAKA
Kampuni ya Tanzania Precision Agriculture ( TAPA ) inakuletea fursa ya kuuza na kununua nafaka kama ifatavyo
ZINAZOHITAJIKA
1. TANI 100,000 ZA MAHINDI MEUPE ZINAHITAJI KWA BEI 600 KWA KILO
2. SOYA BEANS TANI 100 BEI 1700 KWA KILO
3. KARANGA NYEUPE TANI 2 ZINAHITAJIKA KWA BEI 2000 KWA KILO
MZIGO ULIOPO OFISINI.
( unahitaji wanunuzi)
1. KUNA UFUTA TANI 500 BEI 3500 KWA KILO
2. KUNA MAHINDI YA NJANO TANI 100 BEI 850 KWA KILO
3. Viazi mviringo gunia 100 bei 65 elfu
KWA MASAWILIANO ZAIDI PIGA
☎️ 0717639269
☎️0625702284
C E O TAPA
Namba hizo hapo mkuu ongea nao mwenyewe na mkubaliane wenyewe.Mimi nimeona tangazo nikaona niwashirikishe wadauHuo mzigo wanaufuata wenyewe au unawapelekea
tengeneza whatsApp linkSHAMBA PORI LINAUZWA
✅MTAA MAJENGO MBELE YA MNADA MPYA
✅WILAYA YA MANYONI
✅UELEKEO BARABARA YA CHILOLA
✅SHAMBA NI PORI HALIJA SAFISHWA
✅UMBALI KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI YA MANYONI TO DODOMA NI KM 3
✅UMBALI WA KUTOKA BARABARA YA CHIKOLA KUINGIA SHAMBA MITA 200
✅TUNA PIMA KWA GPS
✅UKUBWA NI HEKARI 20
✅BEI KWA HEKARI MOJA TSHS. 100,000/=
CONTACT
0784549997
0715083899
0754083899
0617053899
📞📞📞📞