Uzalendo: BAWACHA yaahirisha Kongamano lililopangwa kufanyika Iringa kuadhimisha siku ya Wanawake dunia ili kuzuia maambukizi ya Corona

Uzalendo: BAWACHA yaahirisha Kongamano lililopangwa kufanyika Iringa kuadhimisha siku ya Wanawake dunia ili kuzuia maambukizi ya Corona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Subpost 1 - Uongozi kwa vitendo, asaysana @bawacha_taifa ( 799 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Uongozi kwa vitendo, asaysana @bawacha_taifa ( 799 X 640 ).jpg
 
Duh vigeu geu mara corona haijawahi kuisha from no where wanaibuka kupanga kongamano kisha wanahairisha. Siasa hizi!
 
Ukisema hawana pesa utapigwa panga? kiri tu hela hamna ndio maana kimeahirishwa sababu karuzuku kadogo hakatoshi
 
Duh vigeu geu mara corona haijawahi kuisha from no where wanaibuka kupanga kongamano kisha wanahairisha. Siasa hizi!
mbaazi akikosa maua husingizia jua

Ukata pesa hawana wanasingizia Corona

Corona kazi unayo
 
Kabisa wana akili nyingi kama mdee na wenzie 19
... hatua nzuri; wanawake wa Chadema are among the most brilliant women in the world! The most talented women in Tanzania are in Chadema.
 
Itapoteza maana halisi ya kilichopangwa , watu elfu 3 kuwaweka mtandaoni kwa ajili ya kongamano si jambo rahisi
Uongo Tanzania nzima hakuna ukumbi wa kutosha watu elfu tatu! sema tu ukata unawasumbua.

Hakuna kongamano lolote Popote Tanzania toka Tanzania iitwe Tanzania haijawahi fanyika kongamano lolote la watu wa kufikia elfu tatu liwe la kisiasa au kidini nk
Una Phd ya uongo
 
Itapoteza maana halisi ya kilichopangwa , watu elfu 3 kuwaweka mtandaoni kwa ajili ya kongamano si jambo rahisi
Basi ombeni msaada wa fedha hapo kwa Asas ili muendelee na hilo kongamano lenu.

Vikao kama hivyo Halima Mdee alikuwa anavigharamia kwa fedha yake ya mfukoni ila sasa hapo Ufipa mmebaki makapuku watupu!
 
Uongo utakusaidia nini ?
 
Back
Top Bottom