Uzalendo kwanza ila naona giza nene kwa Simba dhidi ya Gor

Kiukweli mimi ni shabiki wa simba kindakindaki ila game ya leo ni ngumu sana kwa upande wetu, gor mahia wapo vizuri sana kipindi hiki, washambuliaji wao ni very aggressive, hivyo leo nafasi kubwa ya ushindi naipa gor mahia.
Mi namsubiria manara
 
Wanasema unaweza kuruka vikwazo vingi lkn ni mara chache sana unaweza kuruka vikwazo vyote.Michuano ya Sportpesa upande wa Simba imewachukua muda mwingi bila kutolewa sababu wamepitia njia nyepesi ukilinganisha na Singida utd lkn hatimaye leo wamekutana na kisiki.
Uzalendo kwanza lkn haibadilishi the fact kwamba Kagere na Tuyiseng... Leo lazima watupie at least kila mtu goli moja moja.
Kila la kheri vijana,Lkn kumbukeni uingereza sio sehemu ya kila mtu.
Hata wacheza vipi ,Leo wanafungwaaaaaa
 
Simba inahitaji kusajili washambuliaji wengine wenye nguvu wakuwasaidia Boko na Okwi wanapokuwa hawachezi.
 
Wanasema unaweza kuruka vikwazo vingi lkn ni mara chache sana unaweza kuruka vikwazo vyote.Michuano ya Sportpesa upande wa Simba imewachukua muda mwingi bila kutolewa sababu wamepitia njia nyepesi ukilinganisha na Singida utd lkn hatimaye leo wamekutana na kisiki.
Uzalendo kwanza lkn haibadilishi the fact kwamba Kagere na Tuyiseng... Leo lazima watupie at least kila mtu goli moja moja.
Kila la kheri vijana,Uingereza sio sehemu ya kila mtu.
Maneno yako yalitimia
 
Back
Top Bottom