Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Mi namsubiria manaraKiukweli mimi ni shabiki wa simba kindakindaki ila game ya leo ni ngumu sana kwa upande wetu, gor mahia wapo vizuri sana kipindi hiki, washambuliaji wao ni very aggressive, hivyo leo nafasi kubwa ya ushindi naipa gor mahia.
Hata wacheza vipi ,Leo wanafungwaaaaaaWanasema unaweza kuruka vikwazo vingi lkn ni mara chache sana unaweza kuruka vikwazo vyote.Michuano ya Sportpesa upande wa Simba imewachukua muda mwingi bila kutolewa sababu wamepitia njia nyepesi ukilinganisha na Singida utd lkn hatimaye leo wamekutana na kisiki.
Uzalendo kwanza lkn haibadilishi the fact kwamba Kagere na Tuyiseng... Leo lazima watupie at least kila mtu goli moja moja.
Kila la kheri vijana,Lkn kumbukeni uingereza sio sehemu ya kila mtu.
Labda kama anacheza na AZAM FCSimba anashinda 2 - 1 dhidi ya gormahia
WameshalalaHii gemu simba wakicheza kama walivyocheza mechi zilizopita,lazima walale
Wameshamsajili Salamba, au hukumuona?Simba inahitaji kusajili washambuliaji wengine wenye nguvu wakuwasaidia Boko na Okwi wanapokuwa hawachezi.
Ungekuwa ubeti uliramba dume, hongera zakoSimba Leo hawatoki na kama wakishinda, Leo nawafuturisha mashabiki wa simba
Maneno yako yalitimiaWanasema unaweza kuruka vikwazo vingi lkn ni mara chache sana unaweza kuruka vikwazo vyote.Michuano ya Sportpesa upande wa Simba imewachukua muda mwingi bila kutolewa sababu wamepitia njia nyepesi ukilinganisha na Singida utd lkn hatimaye leo wamekutana na kisiki.
Uzalendo kwanza lkn haibadilishi the fact kwamba Kagere na Tuyiseng... Leo lazima watupie at least kila mtu goli moja moja.
Kila la kheri vijana,Uingereza sio sehemu ya kila mtu.
Kweli mkuuManeno yako yalitimia