Uzalendo: Mo Salah aingizwa kwenye masomo nchini Misri

Uzalendo: Mo Salah aingizwa kwenye masomo nchini Misri

Kinuju

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2021
Posts
2,386
Reaction score
5,325
Ili kukuza uzalendo na bidii ya kufanya kazi kwa watu wa Misri, mchezaji nguli wa soko Mo Sallah ameingizwa kwenye mtaala wa masomo ya nchi hiyo ili wanafunzi waweze kumsoma.
Sasa ni lazima kwa wanafunzi kumsoma Mo Sallah na maisha yake.

My take.
Hapa Tanzania ulianza mchakato wa kuanzisha mitaala ya masomo itakayokuza uzalendo na uelewa wa vijana na wanafunzi kwa nchi yao lakini alipofariki tu Magufuli ,mchakato huo ukafutwa!!!!
20211031_104248.jpg
 
Usiamini habari za waandishi wa kibongo, hususani waandishi wa habari za michezo.
 
Back
Top Bottom