nautaka tena
Senior Member
- Jun 29, 2021
- 182
- 213
Sasa plus sherehe so tunarudi kule kule 200+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazengo mnafahamu ni kwanini Rais Samia aliamua kupanda ndege ya Emirates na kuacha ndege 11 mpya zimepaki?!
_________________________________
Kutoka Dar es salaam kwenda New York Marekani ni Jumla ya Km 12,050 sawa na jumla ya Km 24,100 two ways,ikiwa ni sawa na safari ya masaa 21 na dk 31 Mchana na Usiku nani sawa na masaa 43 kwenda na kurudi,
Boing 787-8 engine inatumia lita 5,400 za mafuta kwa lisaa limoja yaani ( 5,400L/h )
Fanya hivi, chukua lita 5,400 za mafuta zidisha kwa masaa 21.31 utapata jumla ya Lita 115,074 za mafuta ili kufika New York Marekani yaani ( one way)
Tunafahamu,bei ya Lita moja ya mafuta ya ndege (Jet fuel) hapa Tanzania kama trh 24|09|2021 ni $0.501/lita sawa na Tshs 1,162
Ilikupata gharama ya mafuta Dar es salaam to New York ,Chukua lita hizi 115,074 zidisha kwa bei ya lita moja ambayo ni Tsh 1,162 utapata jumla ya Tshs 133,653,240 kwa Safari moja tu ( One way)
Ilikupata gharama ya safari zote mbili yaani kwenda New York na kurudi,Zidisha gharama ya mafuta ya kwenda Tshs 133,653,240 X 2 ilikupata gharama halisi ya mafuta ya Dar es Salaam to New York two ways ,Utapata Jumla ya Tsh267,306,480 hii ni pesa ya mafuta tu yakwenda New York na kurudi Dar es salaam,
Hapa hatujazungumzia rate ya landing fees, Parking fees nanyinginezo watu wa aviation wanafahamu hizi gharama vizuri, kwakuwa Mimi si mtaalum wa mambo Aviation naomba niishie hapa kwenye mathematical calculation ya gharama ya mafuta tu ambayo ni karibu 270M,
Sasa mnaolalamika Rais katumia gharama kubwa sikieni hii,Emirates gharama ya Mtu mmoja kwenda New York na kurudi Dar es salaam kwa Economy Class ni Tsh 2,854,500 kama utakaa huko chini ya Siku 7 ,
Sasa tufanye mama ameenda na watu|deligates 50 japo naamini ameenda na chini ya hawa,
Chukua 2,854,500 7X 50 Utapata jumla ya Tshs 142,725,000 ,
Chukua gharama ya mafuta ya Boing 787-8 ya kwenda New York na kurudi Dar es salaam ambayo ni Tshs 267,306,240 toa 142,725.000 ambayo ni nauli ya watu 50 utapata Salio la Tshs 124,581,240,
Rais Samia anajua umasikini wa watu wake, anajua hakuna madawa, anajua barabara mbovu, anajua watu wanamaisha magumu ndio maana anasafiri na Emirates pamoja na kwamba Tanzania tunazo ndege mpya 11,
Mnaotaka rais aende na dreamliner New York rudieni kusoma uchambuzi huu, Mnaosema rais anatumia gharama kubwa kwenda New York angalieni hii nia ya Rais katika kukwepa gharama zisizo za lazima,
NB, Kitendo cha Rais Samia kwenda na usafiri wa umma amepunguza gharama ya Safari kwa 40% na kwahaki nchi ilimsubiri kiongozi wa aina hii kwa muda mrefu,
_________________________________
![]()
Flights from Dar Es Salaam (DAR) to New York John F Kennedy (JFK) | Emirates Tanzania
Book flights from Dar Es Salaam to New York John F Kennedy today. Comfortable seats, gourmet meals and award-winning entertainment.www.emirates.com
![]()
ð¹ð¿ JP54, JET A1 price in Tanzania 83.7 bbl/$ [18.02.2025]
ð¹ð¿JET FUEL A1 Tanzania = 83.7bbl/$ 18.02.2025 graphjet-a1-fuel.com
![]()
Modern commercial aircraft vs cars: which is more fuel efficient?
There are good reasons why there's a push for aircraft engines continue to deliver better fuel efficiency.www.traveller.com.au
View attachment 1952267
Mzee amekubali mapigo ya SAMIA

😍👍🏿UZALENDO NI VITENDO SIO MANENO,
HUYU MAMA NI KAMA NYERERE TU,
ANAJUA UCHUMI,
ANAJUA LUGHA,
ANAJUA DIPLOMASIA,
WALE MLIOKUWA MNAMPONGEZA YULE RAIS WA ZAMBIA NYIE SIO WAZALENDO KABISA,
😍👍🏿CCM NDIO CHAMA,
Asante mwandishi umemaliza utata,
Umewaonesha Watanzania Uzalendo wa mama Samia kwa namba,
Karibu nyumbani mama kesho nitakuwepo,
😍👍🏿🚮🚮🚮🚮 Machadema atakusoma hamjui
😍👍🏿 Anaogopa kuyakabili magaidiUnataka watu wasahau kwani watasahau lini kutwa wanakumbushwa,
Mwandishi namsifu amekuja na utetezi wa hoja,
CCM sihami mpaka nakufa tunahazina kubwa,
Karibu Samia nitakuja airport kesho
Hahaha, tangu siku ya hotuba hadi leo vijana wanarusha matofali tuu, hizi siku 3 wameshinda wao mitandaoniDuuuuh,
Naona vijana mnakaza kwelikweli, hatupumui,
Nikweli alichofanya Rais nikupunguza gharama sana,
kwenda na ndege binafsi gharama ni kubwa,
Hongera rais Samia, Karibu nyumbani
Siku mkiacha kumkosoa tutakaa kimya,Tunarudi kule kule kwa Mwendazake, Mapambio na uchawa! Hii ni kati ya Legacy aliyotuachia bwana Jiwe, Machawa!! Wengine hadi wanataka picha ya Samia iwepo kwenye sarafu!! Samia is good, but huu uchawa wenu hautomsaidia chochote, mwacheni afanye kazi bila kumzonga zonga na ujinga wenu
Atajulia wapi ila ameelewa somo🚮🚮🚮🚮 Unajua makadirio wewe, Wapi kasema idadi kamili,
Mmezoea udaku soma kwa kutulia
Hapo sawa amewazima waliokuwa wanasema kaenda na Boeng ,heko Madam PresidentWanazengo mnafahamu ni kwanini Rais Samia aliamua kupanda ndege ya Emirates na kuacha ndege 11 mpya zimepaki?!
_________________________________
Kutoka Dar es salaam kwenda New York Marekani ni Jumla ya Km 12,050 sawa na jumla ya Km 24,100 two ways,ikiwa ni sawa na safari ya masaa 21 na dk 31 Mchana na Usiku nani sawa na masaa 43 kwenda na kurudi,
Boing 787-8 engine inatumia lita 5,400 za mafuta kwa lisaa limoja yaani ( 5,400L/h )
Fanya hivi, chukua lita 5,400 za mafuta zidisha kwa masaa 21.31 utapata jumla ya Lita 115,074 za mafuta ili kufika New York Marekani yaani ( one way)
Tunafahamu,bei ya Lita moja ya mafuta ya ndege (Jet fuel) hapa Tanzania kama trh 24|09|2021 ni $0.501/lita sawa na Tshs 1,162
Ilikupata gharama ya mafuta Dar es salaam to New York ,Chukua lita hizi 115,074 zidisha kwa bei ya lita moja ambayo ni Tsh 1,162 utapata jumla ya Tshs 133,653,240 kwa Safari moja tu ( One way)
Ilikupata gharama ya safari zote mbili yaani kwenda New York na kurudi,Zidisha gharama ya mafuta ya kwenda Tshs 133,653,240 X 2 ilikupata gharama halisi ya mafuta ya Dar es Salaam to New York two ways ,Utapata Jumla ya Tsh267,306,480 hii ni pesa ya mafuta tu yakwenda New York na kurudi Dar es salaam,
Hapa hatujazungumzia rate ya landing fees, Parking fees nanyinginezo watu wa aviation wanafahamu hizi gharama vizuri, kwakuwa Mimi si mtaalum wa mambo Aviation naomba niishie hapa kwenye mathematical calculation ya gharama ya mafuta tu ambayo ni karibu 270M,
Sasa mnaolalamika Rais katumia gharama kubwa sikieni hii,Emirates gharama ya Mtu mmoja kwenda New York na kurudi Dar es salaam kwa Economy Class ni Tsh 2,854,500 kama utakaa huko chini ya Siku 7 ,
Sasa tufanye mama ameenda na watu|deligates 50 japo naamini ameenda na chini ya hawa,
Chukua 2,854,500 7X 50 Utapata jumla ya Tshs 142,725,000 ,
Chukua gharama ya mafuta ya Boing 787-8 ya kwenda New York na kurudi Dar es salaam ambayo ni Tshs 267,306,240 toa 142,725.000 ambayo ni nauli ya watu 50 utapata Salio la Tshs 124,581,240,
Rais Samia anajua umasikini wa watu wake, anajua hakuna madawa, anajua barabara mbovu, anajua watu wanamaisha magumu ndio maana anasafiri na Emirates pamoja na kwamba Tanzania tunazo ndege mpya 11,
Mnaotaka rais aende na dreamliner New York rudieni kusoma uchambuzi huu, Mnaosema rais anatumia gharama kubwa kwenda New York angalieni hii nia ya Rais katika kukwepa gharama zisizo za lazima,
NB, Kitendo cha Rais Samia kwenda na usafiri wa umma amepunguza gharama ya Safari kwa 40% na kwahaki nchi ilimsubiri kiongozi wa aina hii kwa muda mrefu,
_________________________________
![]()
Flights from Dar Es Salaam (DAR) to New York John F Kennedy (JFK) | Emirates Tanzania
Book flights from Dar Es Salaam to New York John F Kennedy today. Comfortable seats, gourmet meals and award-winning entertainment.www.emirates.com
![]()
ð¹ð¿ JP54, JET A1 price in Tanzania 83.7 bbl/$ [18.02.2025]
ð¹ð¿JET FUEL A1 Tanzania = 83.7bbl/$ 18.02.2025 graphjet-a1-fuel.com
![]()
Modern commercial aircraft vs cars: which is more fuel efficient?
There are good reasons why there's a push for aircraft engines continue to deliver better fuel efficiency.www.traveller.com.au
View attachment 1952267
Mama ameenda na Emirates ni jambo sahihi kabisa ila jambo nalopinga kweli mtu kutoka UN katika majukumu yake yanahitaji sherehe ya kumpokea maana hizi ni gharama na hayana msingi mbona tunakuwa kama malimbukeni nini cha ajabu kwenda UN? hapa mimi ndio nachukizwa ni kama Mama anatumia nguvu kubwa 2021 kwa kampeni ya 2025. Low confidence
Huyu mzee si mlimtukana sana kuwa anajinyea