Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M


Napenda akili za kiwango hiki,

Nikweli gharama za kwenda na ndege NY nikubwa sana hata kama angeeda na watu 100,

Rais Samia ni aina nyingine ya Nyerere nakubaliana na hii hoja,

Mungu ampe afya na Maarifa zaidi,
 


Unajua ziara za kawaida zinatumia kiasi gani? Kuanzia ndege, jeshi, magari. Gharama za wapambe wote . Wewe unafikiri ni kiasi gani mpaka helikopta. Tuko palepale
 

CCM NDIO CHAMA,

Asante mwandishi umemaliza utata,
Umewaonesha Watanzania Uzalendo wa mama Samia kwa namba,

Karibu nyumbani mama kesho nitakuwepo,
 


 
Tunarudi kule kule kwa Mwendazake, Mapambio na uchawa! Hii ni kati ya Legacy aliyotuachia bwana Jiwe, Machawa!! Wengine hadi wanataka picha ya Samia iwepo kwenye sarafu!! Samia is good, but huu uchawa wenu hautomsaidia chochote, mwacheni afanye kazi bila kumzonga zonga na ujinga wenu
 
Unataka watu wasahau kwani watasahau lini kutwa wanakumbushwa,

Mwandishi namsifu amekuja na utetezi wa hoja,

CCM sihami mpaka nakufa tunahazina kubwa,

Karibu Samia nitakuja airport kesho
😍👍🏿 Anaogopa kuyakabili magaidi
 
Duuuuh,

Naona vijana mnakaza kwelikweli, hatupumui,
Nikweli alichofanya Rais nikupunguza gharama sana,
kwenda na ndege binafsi gharama ni kubwa,

Hongera rais Samia, Karibu nyumbani
Hahaha, tangu siku ya hotuba hadi leo vijana wanarusha matofali tuu, hizi siku 3 wameshinda wao mitandaoni
 
Siku mkiacha kumkosoa tutakaa kimya,

Kwanini usiwaambie wanaomdhalilisha waache?
 
Ongeza speed mkuu...Riz moko anaweza kukuona akakufanyia mpango.
 
Hapo sawa amewazima waliokuwa wanasema kaenda na Boeng ,heko Madam President
 


Tatizo liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…