Uzalendo Ni Kupeana Dili

Uzalendo Ni Kupeana Dili

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Unajua mwaka 2005 wakati John anatoa wimbo wake unaitwa

Hao , mdogo wake Nickson alikuwa hafahamiki kwenye tasnia.

Waliokuwa wanamfahamu ni machalii wa mtaani kwao Daraj mbili, wakati huo wakimuita Kababaa a.k.a
Kiminyio .

Ni wakati huohuo, G alikuwa anashinda vitaa vya Kaloleni na washkaji zake wakijiita [HASHTAG]#Nako2Nako[/HASHTAG]

Nani aliwaza muunganiko wa washkaji hawa?

Takriban miaka 12 sasa tunawaita [HASHTAG]#Weusi[/HASHTAG] , muunganiko unaouhusisha zaidi ya damu ya kina
[HASHTAG]#Makini[/HASHTAG] @gnakowarawara ni zaidi ya ndugu kwao

Muunganiko ulioletwa na Muziki

Binafsi

Urafiki wetu ulianza miaka miwili iliyopita,but umekuwa rafiki,ndugu,mshikaji,na mshauri mzuri kwangu.

Furaha,huzuni tumekuwa Tuki Share pamoja, Naamin wew Ni Zaid Ya Ndugu Yangu

Uzalendo Ni Kupeana Dili
### Mshana Jr

Uzalendo ni mapenzi ya dhati, uzalendo ni kupeana fursa, kupeana michongo, kupeana dili.

Jiulize wewe umemtoa nani??

Nan Kakutoa....??

Unaoshinda nao wanakupa dili?

Wanataka utoke??

Au ndiyo zile pambana na hali yako??

Tanzania Yangu, ni wewe pekee usiyeninyima dili, Ishi na mimi, ukae na mimi

[HASHTAG]#Mshana[/HASHTAG] Jr
Miss Chagga
Mussolin5 gwijimimi The Boss Afande Nyati STUNTER Heaven Sent
Dinazarde Diva Beyonce Snow white
Mondray Asprin MtzMweusi Fakalava Shunie Mama Sabrina MPARE KIBOGOYO Jambazi Dady DJ sepetu BAK Beira Baby Boy From London
 
Back
Top Bottom