Uzalendo: Nimechangia Simba 700, 000 share risiti ya mchango

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Wakuu Baada ya kuona makolo wanalia Lia kuwa Kuna muamko mdogo wa michango kutoka mkwa makolo wavunja viti .....

Kulingana na kupenda soka nimeona nichangie kiasi kidogo Cha laki Saba 700,000 Kwa makolo Ili kuwapa comfort

NB: Je umechangia makolo Tsh? Share muamala wako tuone

Cc : Kalpana
1737022527474.jpg
 
Wakuu Baada ya kuona makolo wanalia Lia kuwa Kuna muamko mdogo wa michango kutoka mkwa makolo wavunja viti .....

Kulingana na kupenda soka nimeona nichangie kiasi kidogo Cha laki Saba 700,000 Kwa makolo Ili kuwapa comfort

NB: Je umechangia makolo Tsh? Share muamala wako tuone

Cc : Kalpana View attachment 3203505
Mbona hii ni illustrator mkuu, unateseka sana yaani huwa unateseka na vitu ambavyo ni temporary comfort. Spelling error kibao 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom