Uzalendo: Nimechangia Simba 700, 000 share risiti ya mchango

Uzalendo: Nimechangia Simba 700, 000 share risiti ya mchango

Wakuu Baada ya kuona makolo wanalia Lia kuwa Kuna muamko mdogo wa michango kutoka mkwa makolo wavunja viti .....

Kulingana na kupenda soka nimeona nichangie kiasi kidogo Cha laki Saba 700,000 Kwa makolo Ili kuwapa comfort

NB: Je umechangia makolo Tsh? Share muamala wako tuone

Cc : Kalpana View attachment 3203505
Jifunze zaidi kufanya editing
 
Mashabiki wengi wa hizi timu kubwa reasoning Yao ipo chini mnoo, ndiomaana ujinga Kama huu unafanyika, sio mapenzi kuchangisha vitu Kama hivii ni upumbavu tuu
 
Mashabiki wa Yanga hata kufanya promotion ya mechi yao ni US ALGER hawajui nilikuwa Kariakoo mida ya saa 7 eti wanawasema Simba SC tu 🤣🤣🤣
 
Wakuu Baada ya kuona makolo wanalia Lia kuwa Kuna muamko mdogo wa michango kutoka mkwa makolo wavunja viti .....

Kulingana na kupenda soka nimeona nichangie kiasi kidogo Cha laki Saba 700,000 Kwa makolo Ili kuwapa comfort

NB: Je umechangia makolo Tsh? Share muamala wako tuone

Cc : Kalpana View attachment 3203505
Ada ya laki 7 haizidi 8000
 
Back
Top Bottom