Uzalendo: Nimechangia Simba 700, 000 share risiti ya mchango

Jifunze zaidi kufanya editing
 
Mngelisaidia masikini ingelipendwza lakini mnasaidia wenye mafanikio
Unadhani katika hawa mashabiki wa Yanga wanaotoa hela zao kuna anayemfikia Pacome kwa kipato?
Tena naye aliamua aende na kamfuko kabisa 😀

Your browser is not able to display this video.
 
Mashabiki wengi wa hizi timu kubwa reasoning Yao ipo chini mnoo, ndiomaana ujinga Kama huu unafanyika, sio mapenzi kuchangisha vitu Kama hivii ni upumbavu tuu
 
Mashabiki wa Yanga hata kufanya promotion ya mechi yao ni US ALGER hawajui nilikuwa Kariakoo mida ya saa 7 eti wanawasema Simba SC tu 🤣🤣🤣
 
Ada ya laki 7 haizidi 8000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…