Jerry Amani Mshiu
Member
- Jul 26, 2022
- 14
- 10
Tafiti zinaonesha tangu mwaka 2015 na kuendelea kumekuwa na ongezeko la wimbi la watu wanaofanya mambo ambayo kwa watu razini ni ujinga uliokomaa lakini mambo hayo yanachukuliwa kama uzalendo?
Kwa mfano kuna kipindi waziri fulani alikuwa akipima samaki na rula lakini kitendo kile kilitafsiriwa ni uzalendo au lipindi fulani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar aliwapiga marufuku wabunge kutoingia jinini humo jambo lililotafsiriwa kama ni uzalendo.
Je, jamii ya tanzania inajua maana halisi ya uzalendo
?