Uzalendo: Tundu Lissu aibuka Ivory Coast kushangilia Taifa Stars

Yaani katumia hela zake binafsi kwenda kuishangilia Timu ya Taifa lake , Uzalendo mtupu !

View attachment 2871483
Nyie watu wagumu sana wa kuelewa na wepesi wa kusahau,hela binafsi wakati ni ruzuku za chama zinateketea,vipi ile michango ya Hanang mliyochangisha wafuasi wenu baadae mkadanganya umma kuwa serikali imezuia msiende huko!? Jemlliirudisha kwa wahusika!?
 
Chadema haijaidhinisha nauli kwa kiongozi yeyote kwenda Ivory Coast .
 

Umeshaulizia au umekuja na theory?
Embu fuatilia ndio uje, maana until then wao ndio wenye majibu mchango umefika wapi
 
Mwalimu haya mambo ya siasa huwezi kuyaelewa .
 
Mwalimu haya mambo ya siasa huwezi kuyaelewa .
Mwalimu ni kila kitu nchi hii,mwalimu nyerere, mwalimu magufuli ,mwalimu majaliwa nk,sioni sababu ya kumtweza mwalimu ili hali uhuru tulionao umeletwa na mwalimu
 
Mwalimu ni kila kitu nchi hii,mwalimu nyerere, mwalimu magufuli ,mwalimu majaliwa nk,sioni sababu ya kumtweza mwalimu ili hali uhuru tulionao umeletwa na mwalimu
Ndio nakubali Ila siasa huziwezi mkuu
 
Huu ndio uzalendo tunaoutaka , Ukitaka kujua mtu ni Mkereketwa wa Timu ya Taifa basi Mwangalie huyu Jamaa .

Yaani katumia hela zake binafsi kwenda kuishangilia Timu ya Taifa lake , Uzalendo mtupu !

View attachment 2871483
Safi sana wameanza rebranding
1. Kajitokeza msiba wa Askofu.
2. Kajitokeza event ya Professor J.
3. Sasa yupo Ivory Coast.

He's becoming a statesman
 
wote wanamtumikia bwana mmoja, wana bosi mmoja hivyo yaliobakia ni maigizo tu, utakuja kuwasikia tena raisi samia akimaliza muda wake 2025 tutakapokuwa na raisi mpya atakaye washa umeme wiki ya kwanza tu akishaapishwa …
 
Chadema na sisiem wanatofautiana majina tu, ila wote ni wale wale, wenye tabia sare kabisa,

Wote ni chawa kwa viongozi wao na si kwa nchi
 
Safi sana wameanza rebranding
1. Kajitokeza msiba wa Askofu.
2. Kajitokeza event ya Professor J.
3. Sasa yupo Ivory Coast.

He's becoming a statesman
Hahahaaa

Kutokea kwenye msiba, kabirini, event na uwanjani unakua statesman

Basi gerson Msigwa is a statesman

Haji kwenye maandamano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…