Uzalendo una tofauti gani na ubinafsi?

Uzalendo una tofauti gani na ubinafsi?

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
Uzalendo ni nini?
IMG_20220221_161048.jpg

Ubinafsi ni nini?
IMG_20220221_161111.jpg

Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake?

#Maelezo ya screenshot ni wikipedia
 
Kwenye ubinafsi umeandikwa: ^kwa kutojali wengine...^ Sijaliona hili kwenye uzalendo. BIG DIFFERENCE!
 
Uzalendo ni nini?
View attachment 2126097
Ubinafsi ni nini?
View attachment 2126098
Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake?

#Maelezo ya screenshot ni wikipedia
Moja huwajali watu walio nje ya nchi yako na nyingine huwajali wote wa nje na ndani ya nchi. Kifupi zote ni ubinafsi.. ubinafsi wa kwanza (UZALENDO) ni kutowajali walio nje ya nchi yako... lakini ubinafsi wa pili (UBINAFSI) ni kutowajali wote walio ndani na nje ya nchi
 
Naunga mkono hii kwa asilimia 100, mm naona wote ni ubinafsi tu
 
Uzalendo ni nini?
View attachment 2126097
Ubinafsi ni nini?
View attachment 2126098
Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake?

#Maelezo ya screenshot ni wikipedia
Maelezo Wikipedia yako wazi na sahihi. Uzalendo si kwa familia bali nchi, ubinafsi vile vile, si kwa familia, bali mtu pekee.
 
Nakushauri tafuta tafsiri sahihi kutoka katika kamusi, wikipedia ni kama udaku tu haiwezi kuweka tafsiri sahihi na hivyo huwezi kuona tofauti
 
Moja huwajali watu walio nje ya nchi yako na nyingine huwajali wote wa nje na ndani ya nchi. Kifupi zote ni ubinafsi.. ubinafsi wa kwanza (UZALENDO) ni kutowajali walio nje ya nchi yako... lakini ubinafsi wa pili (UBINAFSI) ni kutowajali wote walio ndani na nje ya nchi
Bado hueleweki kujipendaje!! kuna mwili. roho na nafsi pia unaweza kupenda kimoja tu!! mfano ukapenda kuvaa vizuri lkn usijali kula!! au ukapenda kula saana bila kujali utakufa kwa pressure!!! kupiga mswaki saaana unasahau kusafisha masikio!!

au ukapenda saaaana kutumia toilet papers badala ya maji mengi kuna sehemu mwilini zitaumia na zita lalamika!! sasa utafanyaje!...zingine zitataka huduma sana
 
Ni kulinganisha wewe na wengine walio nje na ndani ya nchi yako... Hayo ya masikio uliyoyasema ni kujilinganisha viungo vyako wewe mwenyewe...!! Huwezi taja uzalendo kwa kuyaosha sana masikio na kuyaacha meno...
 
Ni kulinganisha wewe na wengine walio nje na ndani ya nchi yako.
Hapo ndo mnapo kosea kabisaaa!! chaka!! Ngalikihinja anapenda kilaji na kuongea saaana!! smaki ni Msomi mpole by nature mtu wa kutafakari maisha in general hapendi kilaji !! ni makosa kulinganisha hawa watu wawili!

na huwezi kutimiza mahitaji yao kwa kuwaangalia tu!! kwa hisia zako ...saaana utaishia kupinduliwa tu!! mimi ni mimi wewe ni wewe twende kazi!.....Mungu angejua hitaji /hisia za Shetani!! ange zuia faster ! ili uasi usisambae na kushawishi malaika wooote wale! na

sie baadhi ya wanadmu tumeumbwa kwa mfano wake ivo tuko km yeye!! kamwe huwezi kutulinganisha na hao hatuta swii!!
 
Back
Top Bottom