Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Moja huwajali watu walio nje ya nchi yako na nyingine huwajali wote wa nje na ndani ya nchi. Kifupi zote ni ubinafsi.. ubinafsi wa kwanza (UZALENDO) ni kutowajali walio nje ya nchi yako... lakini ubinafsi wa pili (UBINAFSI) ni kutowajali wote walio ndani na nje ya nchiUzalendo ni nini?
View attachment 2126097
Ubinafsi ni nini?
View attachment 2126098
Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake?
#Maelezo ya screenshot ni wikipedia
Naunga mkono hii kwa asilimia 100, mm naona wote ni ubinafsi tuMoja huwajali watu walio nje ya nchi yako na nyingine huwajali wote wa nje na ndani ya nchi. Kifupi zote ni ubinafsi.. ubinafsi wa kwanza (UZALENDO) ni kutowajali walio nje ya nchi yako... lakini ubinafsi wa pili (UBINAFSI) ni kutowajali wote walio ndani na nje ya nchi
Kwenye ubinafsi umeandikwa: ^kwa kutojali wengine...^ Sijaliona hili kwenye uzalendo. BIG DIFFERENCE!
Maelezo Wikipedia yako wazi na sahihi. Uzalendo si kwa familia bali nchi, ubinafsi vile vile, si kwa familia, bali mtu pekee.Uzalendo ni nini?
View attachment 2126097
Ubinafsi ni nini?
View attachment 2126098
Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake?
#Maelezo ya screenshot ni wikipedia
Walaa! usisumbuke mleta mada ni mlevi!Kwenye ubinafsi umeandikwa: ^kwa kutojali wengine...^ Sijaliona hili kwenye uzalendo. BIG DIFFERENCE!
Bado hueleweki kujipendaje!! kuna mwili. roho na nafsi pia unaweza kupenda kimoja tu!! mfano ukapenda kuvaa vizuri lkn usijali kula!! au ukapenda kula saana bila kujali utakufa kwa pressure!!! kupiga mswaki saaana unasahau kusafisha masikio!!Moja huwajali watu walio nje ya nchi yako na nyingine huwajali wote wa nje na ndani ya nchi. Kifupi zote ni ubinafsi.. ubinafsi wa kwanza (UZALENDO) ni kutowajali walio nje ya nchi yako... lakini ubinafsi wa pili (UBINAFSI) ni kutowajali wote walio ndani na nje ya nchi
Ni kulinganisha wewe na wengine walio nje na ndani ya nchi yako... Hayo ya masikio uliyoyasema ni kujilinganisha viungo vyako wewe mwenyewe...!! Huwezi taja uzalendo kwa kuyaosha sana masikio na kuyaacha meno...Bado hueleweki kujipendaje!! kuna mwili. roho na nafsi pia unaweza kupenda kimoja tu!! mfano ukapenda kuvaa vizuri lkn usijali kula!! au ukapenda kula saana bila kujali utakufa kwa pressure!!! kupiga mswaki saaana unasahau kusafisha masikio!!
au ukapenda saaaana kutumia toilet papers badala ya maji mengi kuna sehemu mwilini zitaumia na zita lalamika!! sasa utafanyaje!...zingine zitataka huduma sana
Hapo ndo mnapo kosea kabisaaa!! chaka!! Ngalikihinja anapenda kilaji na kuongea saaana!! smaki ni Msomi mpole by nature mtu wa kutafakari maisha in general hapendi kilaji !! ni makosa kulinganisha hawa watu wawili!Ni kulinganisha wewe na wengine walio nje na ndani ya nchi yako.
Kabisakwa hiyo ccm ni wabinafsi walio katika kichaka cha uzalendo