Uzalendo unahitajika kwenye timu za taifa

Chochote kinachoguswa na wana CCM hugeuka kuwa laana tupu.Mungu ameikataa CCM na makopo yake.Laana kum!
 
Kumuhubiria uzalendo kijana ambaye ametengenezewa dhiki ya kimkakati hata kumfanya atamani angezaliwa mbwa Ulaya au Marekani sio Jambo jepesi.
 
Eti jambo lolote lazima libume!
1. Ni enzi za mh. Samia yanga kafika fainali ya shirikisho caf tangu ulimwengu wa yanga kuumbwa

2. Ni enzi za mh. Samia simba kafika fainali ya shirikisho caf

3. Tangu ulimwengu kuumbwa, ni enzi hizi za mh. Samia taifa stars imefika 16 bora afcon

4. Ni enzi ya mh. Samia ligi ya tanzania imekuwa kwenye sita bora africa.

5. Tangu ulimwengu kuumbwa, ni enzi ya samia taifa u17 wamecheza fainali afcon.

6. Tangu ulimwengu uwepo, ni enzi ya samia afcon kufanyikia tanzania.

Bado wale serengeti girls walioenda kombe la dunia india, bado CHAN.

HAYA WEWE TUONYESHE AMBAYO HAYAKUBUMA ENZI ZA BARAKA TOFAUTI NA SASA!
 
Kila serikali duniani ina jukumu la kutumia gharama kwa walipa kodi wake,sasa tuambie serikali gani uliyoiona ww duniani katika kila jambo wanaingiza siasa?
 
Sio kwenye mpira wa miguu ambao unataka mbinu,mazoezi na ufundi,mambo ya uzalendo huchangia chini ya asilimia 10 kwenye ushindi.Timu yetu ya vijana ilipambana sana,tulizidiwa mbinu,ufundi na maarifa
Je Sasa huoni haja ya kuwapongeza na kuipongeza serikali Kwa hatua ilipofika
 
Kumuhubiria uzalendo kijana ambaye ametengenezewa dhiki ya kimkakati hata kumfanya atamani angezaliwa mbwa Ulaya au Marekani sio Jambo jepesi.
Vijana wawe wavumilivu....Hali hii tunaipitia hata ulaya waliipiitia kipindi Cha miaka ya 1645s 1400s .....enzi za kina King Charles 1.......king Louis xiv etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…