Uzalendo unahitajika kwenye timu za taifa

Hata wazazi wanatumia gharama kubwa kusomesha watoto wao ila ajira hazipo atarudishwa ambaye ashapita kwenye kitengo fulani akastaafu
 
Vijana kwenye mafanikio wanaziba macho😂😂
 
Kumuhubiria uzalendo kijana ambaye ametengenezewa dhiki ya kimkakati hata kumfanya atamani angezaliwa mbwa Ulaya au Marekani sio Jambo jepesi.
Hapana mkuu hata ulaya wanatamani sana kuishi Africa
 
mnaeenda kuimba Samia shikamoh uwanjani alafu mnataka uzalendo? uzalendo wa nini kwa uchawa?
 
mnaeenda kuimba Samia shikamoh uwanjani alafu mnataka uzalendo? uzalendo wa nini kwa uchawa?
 
Uzalendo unaanzia kwenye mamlaka za juu, kama hata viongozi hawana uzalendo na upendo kwa taifa lao unategemea nini?? Chuki katika mioyo ya wananchi kwa serikali hii dhalimu na iliyojaa damu ni kubwa sana, na hii tabia ya kila kizuri anapewa sifa Rais na kibaya ni chetu wote wananchi imepelekea hata watu kushabikia timu pinzani na zetu kwa sababu wanajua zikishinda sifa zote zinaenda kwa huyo Rais na machawa wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…