Uzalendo unahitajika kwenye timu za taifa

Mkuu viongozi wote ni wazalendo na wachapa kazi that's y miradi inasonga Kwa speed
 
Mkuu mpira inahitaji support kubwa ya serikali....je unakubali Hilo?????

Kama ndio basi hyo serikali ipo chini ya Irani ya CCM........japo hata chadema wangeamua kuchangia wale vijana..... serikali inge acknowledge
Laana hautowaacha mbogamboga hilo liwekwe kichwani
 
Sometimes watu kufurahia matokeo mabaya ni sawa kabisa. Sababu kabla ya mechi huwa mnamuomba Mungu, halafu timu ikishinda mnamshukuru Sa100. Hiyo team haitokaa ifanikiwe 🤣🤣🤣
 
Uzalendo Sandie kwa kuweka sera kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni kwenye clubs zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…