Ina maana tunahitaji karne 6 na nusu kufika walipo ulaya sasaVijana wawe wavumilivu....Hali hii tunaipitia hata ulaya waliipiitia kipindi Cha miaka ya 1645s 1400s .....enzi za kina King Charles 1.......king Louis xiv etc
Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali inatumia gharama kubwa ku fund timu zetu😬😬😬
View attachment 3600313
Hiyo ccm yenye toka iwe na dora ina kipi cha maana ilichokifanya?... bata mzinga .Ni siasa za chadema za majitaka, za kishamba. Wameshindwa siasa safi sasa ni watu wa matusi, kufurahia nchi kupata matatizo, sasa tuwaulize kwa njia hiyo ndiyo watashika dola? Watanzania gani wawachague? Hao mapumbavu yenye stress za maisha!