Paul Makonda
Member
- Jul 8, 2011
- 97
- 186

Maisha yana KANUNI Nyingi ambazo kila Mmoja anapitia kivyake......!!! Usijali Uko wapi Leo, Ipo SIku Utalibeba Taifa na Utakuwa Wategemewa.
Watoto ambao Wanaishi Mazingira Magumu (Mnajua Vema Maana ya Mazingira Magumu) ama Tunaita watoto wa Mitaani, Leo Wamelibeba Taifa Huko BRAZIL kwa Kurudi na Kombe la SOKA la DUNIA kwa WATOTO waishio MAzingira Magumu.
Hawakujali Historia ya Maisha yao, Walijua Kitu Kimoja Tu, WANATUMIKIA TAIFA LAO. NA HUU NI UZALENDO WA KWELI.
View attachment 150575
Nichukue Fursa hii kuwapongeza na Kukiri kwamba, Vijana Hawa wamenipa Changamoto Kubwa Mimi Binafsi na Hii Ni Changamoto ya Vijana wote Tanzania Kutumikia Taifa bila Kujali Mazingira Wanayopitia.
Wito wangu Kwa Viongozi Vijana; Tuunge Mkono Juhudi Hizi.
Mungu Ibariki TANZANIA
Paul C. MAKONDA
Katibu Uhamasishaji na CHIPUKIZI, UVCCM
