Mwakaboko King
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 1,099
- 207
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamanda wa CHADEMA Mkoani Arusha jana wametangaza rasmi kukiasi chama hicho kutokana na kiongozi wao,Mhe Mbunge Godbless Lema kutowajali vijana hao huku wakimtuhumu kukihujumu chama hicho.


Baadhi ya vijana hao wakizungumza huku wakitokwa na machozi wamemtupia lawama Mbunge huyo kwa kuwageuza vijana hao kama ngao na mtaji wake kisiasa huku familia zao zikipata madhara na mateso yaliyosababishwa na maamuzi mabaya ya CHADEMA ya kuwashawishi kuingia kwenye migomo na maandamano! Sasa hawatadanganyika tena wamejitambua na Wamesema kamwe hawako tayari kutumika katika migomo na maandamano yasiyo na tija kwa taifa!



Nawasilisha!!!!!
SOURCE: Star Tv.

