Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
Arusha walishaikubali katiba ndo maana wanampango wa kumpiga chini huyo kiazi Lema...
.....Bado mnampango na Arusha????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arusha walishaikubali katiba ndo maana wanampango wa kumpiga chini huyo kiazi Lema...
.....Bado mnampango na Arusha????
Kumbe majibu unayo kwanini unauliza majibu? Delete Lema mchumia tumbo anaejali tumbo lake tu huku akiwasahau vijanaHivi kuwa mfuasi wa chama fulani unakuwa unamtumikia mtu, au ni utashi wako na maamuzi yako kutumia haki yako ya kisiasa kama mwananchi? Ukipata madhara along the way unadai umetumika? Na ukipata mgao wa 'escrow' unadai umefanyaje?
Amekanyaga pabaya alidhani vijana wa AR wajinga, sasa imekula kwake mwaka huu, atafute kwengine kwa kutokea sio kule tena.Lema ana wakati mgumu sana.
Hawa Makamanda wanafahamu hila zake zote.
Nawapongeza kwa kujitambua.
Amekanyaga pabaya alidhani vijana wa AR wajinga, sasa imekula kwake mwaka huu, atafute kwengine kwa kutokea sio kule tena.
Huyo lazima atoke hata kwa bakora maana hafai na kawarubuni wananchi wa jimbo lake sasa wameshamstukia kuwa kawapiga chenga ya mwili ndo maana wanampiga vijembe, mwaka huu kwishney kwake.Ha ha ha the time for Hon. To close down!!View attachment 250062