johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe. Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha Mkutano Mkuu ufanyike.
Mbatia amewataja Mhe. Selasini. Mhe. Komu, Mhe. Suzan Masele na mwingine mmoja kwamba kila mmoja wao ametoa kiinua mgongo chake cha miaka 5 kuchangia gharama za mkutano mkuu.
Mbatia amebainisha wabunge hao wa zamani wa CHADEMA kutoa kiasi cha sh milioni 40 hadi 50, na kwamba hilo siyo jambo dogo na ameahidi chama kuwaenzi.
Maendeleo hayana vyama!