Uzalendo: Wabunge wa CHADEMA waliohamia NCCR Mageuzi watoa "viinua mgongo" vyao kati ya Tsh. 40m na 50m kila mmoja kufadhili Mkutano Mkuu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka.

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe. Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha Mkutano Mkuu ufanyike.

Mbatia amewataja Mhe. Selasini. Mhe. Komu, Mhe. Suzan Masele na mwingine mmoja kwamba kila mmoja wao ametoa kiinua mgongo chake cha miaka 5 kuchangia gharama za mkutano mkuu.

Mbatia amebainisha wabunge hao wa zamani wa CHADEMA kutoa kiasi cha sh milioni 40 hadi 50, na kwamba hilo siyo jambo dogo na ameahidi chama kuwaenzi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Imekula kwao ubunge hawataupata mwendo ni uleule..
 
Hii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka.

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha mkutano mkuu ufanyike.

Mbatia amewataja mh Selasini. Mh Komu, mh Suzan Masele na mwingine mmoja kwamba kila mmoja wao ametoa kiinua mgongo chake cha miaka 5 kuchangia gharama za mkutano mkuu.

Mbatia amebainisha wabunge hao wa zamani wa CHADEMA kutoa kiasi cha sh milioni 40 hadi 50, na kwamba hilo siyo jambo dogo na ameahidi chama kuwaenzi.

Maendeleo hayana vyama!
Laki 5 kuchangia Chadema walikuwa wanalalamika nini sasa?
 
Hawa watajutia Sana pesa zao
 
Back
Top Bottom