johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lijualikali aje ahoji na huku!Wakichangia Chadema wanapelekwa takokuru
Endelea kukariri bwashee!Wachangie tu, hawapiti ng'o.
Huku CHADEMA kule CCM .
Mgombea wa nccr hapati hata 20% ya kura zote
Lijualikali aje ahoji na huku!
Subiri arudi bungeni utalipwa bwashee!Anthony Komu ninamdai ananizungusha na pesa zangu halafu anachangia chama aisee!
Kubenea yuko ACT wazalendo!Kubenea Nilikuwa namuona king sana
Zitaliwa tu na Mbowe na vimada wakeWakichangia Chadema wanapelekwa takokuru
Siijui......haya tuambie!Una hakika gani hizo pesa hawajarudishiwa kwa mlango wa nyuma?!
Hiyo ahadi aliyoitoa Mbatia ya chama kuwaenzi unaijua maana yake?
Laki 5 kuchangia Chadema walikuwa wanalalamika nini sasa?Hii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha mkutano mkuu ufanyike.
Mbatia amewataja mh Selasini. Mh Komu, mh Suzan Masele na mwingine mmoja kwamba kila mmoja wao ametoa kiinua mgongo chake cha miaka 5 kuchangia gharama za mkutano mkuu.
Mbatia amebainisha wabunge hao wa zamani wa CHADEMA kutoa kiasi cha sh milioni 40 hadi 50, na kwamba hilo siyo jambo dogo na ameahidi chama kuwaenzi.
Maendeleo hayana vyama!
Hawa watajutia Sana pesa zaoHii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha mkutano mkuu ufanyike.
Mbatia amewataja mh Selasini. Mh Komu, mh Suzan Masele na mwingine mmoja kwamba kila mmoja wao ametoa kiinua mgongo chake cha miaka 5 kuchangia gharama za mkutano mkuu.
Mbatia amebainisha wabunge hao wa zamani wa CHADEMA kutoa kiasi cha sh milioni 40 hadi 50, na kwamba hilo siyo jambo dogo na ameahidi chama kuwaenzi.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe unaamini maneno hayo? Kuwa makini na wanasiasa, mkutano wa Nccr unarushwa live na TBC.Hawa watajutia Sana pesa zao
Inawezekana akina bwashee wamemwingiza king Suzan Maselle.Hawa watajutia Sana pesa zao
Unadhani Komu cheo cha mwenyekiti wa uchaguzi kapewa bure?!Wewe unaamini maneno hayo? Kuwa makini na wanasiasa, mkutano wa Nccr unarushwa live na TBC.