kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 455
Japo hapo awali sikuwepo naweza nikaongelea kwa uzoefu nilioupata toka nilipoingia hapa december, sitatofautiana sana na best yangu watu8 kuna mada nyingine hapa ukizisoma hazina mashiko kwahiyo unakuta unashindwa uchangie nini
Kuna wengine hapa wanaandika makala ndefu hizo ambazo pia hazijapangiliwa vizuri kwa mtindo huo wa uandishi lazima utaishia kufungua na kuufunga uzi huo.
Nisiwe msemaji sana hayo ni yangu niliyoyaona ukiona nilichoandika sicho utanisamehe sana kisome halafu kiache
Sawa sawa nimegundua ki2 hapa tupambane na wale wanaoandika vitu vya hovyo ili warudi walipotoka itatupa nizamu tusisubiri mpaka apigwe Ban sisi wana Cc tuwe first BanAnzisha mada yenye mashiko uone kama Chit Chat member hawato comment hadi ukimbie. Tatizo watu wanaanzisha thread za kijinga kijinga
hata hii ukipata watu shukuru mungu maana hamna hata chakuchangia
Mada hazina mashiko kaka...unless tubadilike kama ilivyokuwa awali
Sawa sawa nimegundua ki2 hapa tupambane na wale wanaoandika vitu vya hovyo ili warudi walipotoka itatupa nizamu tusisubiri mpaka apigwe Ban sisi wana Cc tuwe first Ban
Tukiwa tunaona uzi wa ki puuzi, chit chat member wenye mapenzi na nyumba yetu, tuna jitumia PM za kuupotezea uzi husika, na kuuacha kama ulivyo, au tuna muandama hadi jukwaa alione chungu
kumuandama ndiyo suluhisho la msingi kwenye PM haoni atajua yupo sahihi.
Na juhudi za kubadilika zinaletwa na sisi wana CHIT CHAT.
Tukiwa tunaona uzi wa ki puuzi, chit chat member wenye mapenzi na nyumba yetu, tuna jitumia PM za kuupotezea uzi husika, na kuuacha kama ulivyo, au tuna muandama hadi jukwaa alione chungu
Afu huyu ni mnoko jamani..
Anzisha mada yenye mashiko uone kama Chit Chat member hawato comment hadi ukimbie. Tatizo watu wanaanzisha thread za kijinga kijinga
Ubarikiwe
Ha ha ha..amen..sawa nimekubali tutawaandama haters