kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 455
- Thread starter
-
- #21
Change is not a change until you change kwahiyo kwakuwa mstari wa mbele ni muhimu sisi wenyewe tukaacha kuandika thread zisizo na mashiko hapo itakuwa somo hata kwa wageni nao hawataleta thread zisizo na mashiko.....ila tuanze sisi kwanza
mada nyingi ziko down sana mkuu unashindwa hata useme nini, hivyo ukiona la maana unagonga ;like; unapita tu.
Ahsante kwa ushauri,ila mkuu mtoa mada take note kuwa hakuna jukwaa linachukiwa kama chi chat,kila siku watu wanafungua thread kututukana.
Mada hazina mashiko kaka...unless tubadilike kama ilivyokuwa awali
ni kweli kabisa....ndo maana wengine tunaishia kushinda MMU nako kuna watu wanakuharibu nina mpango kuhamia jukwaa la wakubwa
ni kweli kabisa....ndo maana wengine tunaishia kushinda MMU nako kuna watu wanakuharibu nina mpango kuhamia jukwaa la wakubwa