Uzalishaji na Exportation ya hizi mashine uliishia wapi?

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Ujio wa Tanzania ya viwanda ulitajwa kuwepo na vifaa hivi kwaajili ya soko la ndani na nje pia

Where are we now?

 
Ujio wa Tanzania ya viwanda ulitajwa kuwepo na vifaa hivi kwaajili ya soko la ndani na nje pia

Where are we now?

View attachment 2178839
Toa ufafanuzi ili tuende sawa ndugu,hapo bado kuelewa unazingumzia nini, Kwa ni naona picha isiyona maelezo,yenye mwonekano wa bendera ya Tanzania
 
Ulisikia nchi gani inarusha helicopter yenye engine ya tonda?, Pangaboi eti bati gauge 28, bodi la masufuria chakavu?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…