Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Duniani hakuna nchi kubwa iliyopuuza uzalishaji wa chuma na ikaendelea. Nchi karibu zote za kiafrika zipo hohehahe sababu mojawapo ni kupuuza uzalishaji wa chuma. Kwa sasa(Pamoja na kusema tupo information age) chuma ndicho engine ya uchumi wa nchi yoyote ile.
Makaburu wa South Africa walielewa somo hili vyema sana. Wakati wa utawala wao waliwekewa vikwazo vya kutoagiza silaha nje. Kwa vile walikuwa na chuma, mainjinia wao walikaa na kuunda mizinga fulani bora sana. Hata baadaye nchi fulani za Ulaya zilianza kununua mizinga hiyo. Si uchumi tu, hata usalama wa nchi unategemea chuma.
Kama tunataka kuendelea lazima tuzalishe chuma cha kutosha na cha bei rahisi. Watu waijiajiri tu kuendesha bajaji bali kuziunda pia.