Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024

Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024.

Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji ya vyakula vya mifugo.

Vilevile, viwanda vipya 51 vya kuzalisha vyakula vya mifugo vimesajiliwa katika Mikoa nane (8) ya Arusha (9), Kilimanjaro (3), Dar es Salaam (16), Morogoro (4), Mwanza (1), Katavi (1), Dodoma (1), Iringa (3), Mbeya (1), Pwani (10) na Shinyanga (2) na kufanya viwanda vya kuzalisha vyakula vya mifugo kuongezeka kutoka 199 mwaka 2020 kufikia 250 mwaka 2025.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store
 

Attachments

  • VID-20241218-WA0264.mp4
    10 MB
Back
Top Bottom