Uzalo Special Thread

Nombuso anatamaa sanaa anakera kiukweli.... ila apo mxo atakuja tu kulegea maana penzi lisha mnogea apo ayanda ajiandae kuibiwa maana anaenda kuoa mama huruma
nosi bora ajikatae tuu maana alikua anaingilia penzi la chizi freshπŸ˜…
 
Nombuso anazingua, kama hajakua vile sasa naenda kum-please tena mxo wa nini wakati huku ameshakubali kuolewa na Ayanda[emoji21][emoji21]
 
Nombuso anatamaa sanaa anakera kiukweli.... ila apo mxo atakuja tu kulegea maana penzi lisha mnogea apo ayanda ajiandae kuibiwa maana anaenda kuoa mama huruma
nosi bora ajikatae tuu maana alikua anaingilia penzi la chizi fresh[emoji28]
Huyo bonge Thobile alifundishwa na mama yake Nosipho jinsi ya kumfundisha adabu mwanamke aliyezoea kuiba waume za wenzie sasa jana ndio alitumia huo ushauri.
 
Hahaaha Nombuso jogoo la shamba
Nasubiria Ayanda akimshtukia atamchezea na kumuumiza
 
Nombuso anatamaa sanaa anakera kiukweli.... ila apo mxo atakuja tu kulegea maana penzi lisha mnogea apo ayanda ajiandae kuibiwa maana anaenda kuoa mama huruma
nosi bora ajikatae tuu maana alikua anaingilia penzi la chizi fresh[emoji28]
Mama huruma[emoji23]
 
Hahaaha Nombuso jogoo la shamba
Nasubiria Ayanda akimshtukia atamchezea na kumuumiza
Hajui kuwa ayanda ni player kiungo mkali akiamua..
Tulia tuone huyu mama huruma atagawa labda mpaka kwa dogo nkosinathi.
 
Nombuso anazingua, kama hajakua vile sasa naenda kum-please tena mxo wa nini wakati huku ameshakubali kuolewa na Ayanda[emoji21][emoji21]
Halina akili hilo demu mkuu
Yaani ni limama huruma na halina msimamo kabisa litachezewa tu
 
Halina akili hilo demu mkuu
Yaani ni limama huruma na halina msimamo kabisa litachezewa tu
Ayanda mshamba sana alimwacha Nkule akasepa Jozi kisa huyu Binti na huyu Binti kitambo alionyesha kumkubali Mxolisi.
 
Snitch SBU hawajamuonesha tena tangu alivyotoroka hospital msela nilikuwa namkubali sana by the way Mabuza kuna kitu anakifahamu sana kuhusa Xulu na Kuna uwezekano Xulu hajafa.
 
Ayanda mshamba sana alimwacha Nkule akasepa Jozi kisa huyu Binti na huyu Binti kitambo alionyesha kumkubali Mxolisi.
Sisi tulijuaga kabisa kuwa Karma itamtafuna, alimuumiza sana nkule wa watu yaani kalikuwa kanampenda ayanda kinoma acha na yeye akome kidogo
Usiache mbachao kwa msala upitao wahenga wana akili nyie πŸ˜€πŸ˜€
 
SBU na naona kwenye episode za mbele msela anarudi πŸ˜€πŸ˜€ View attachment 1937624
Mwanangu huyu sbu muhuni sana yaani ana mitikasi mingi sana.
Kila akija lazima akiwashe.. Bila shaka atakuja na mpya.

Leo naona MK kacheza kama pele kesi imegeuka juu chini. πŸ˜€πŸ˜€
Mxo akiwa na nombu demu mshamba akadakwa na dhlomo bado mastermind tu. πŸ˜€
Judge kacheza kama pele. Msala umegeuka.

Yaani ayanda atakoma sana kwa huyu nombu. Alijifanya kumuumiza nkule wa watu hadi demu akaenda zake, sasa acha akione.

Huyu phindile naona ni mtu wa dili kawageukia kwa mama xulu sasa anataka urithi eti amandla ni damu ya xulu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mama mxo kamtimua.

Mambo sio powa mkuu wangu ..
 
Dah ya leo inaonekana kali eeh, mimi imenipita ngoja nivizie narudio keshO
 
Yaani ayanda atakoma sana kwa huyu nombu. Alijifanya kumuumiza nkule wa watu hadi
Huyu Binti mizinguo sana inaonesha hafulahii kuolewa na Ayanda na pia Mxolisi kaanza kujirudisha mdogomdogo kwahiyo lolote linaweza kutokea tu.
Huyu phindile naona ni mtu wa dili kawageukia kwa mama xulu sasa anataka urithi eti amandla ni damu ya xulu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mama mxo kamtimua.
Imagine Ayanda na Amandla ni mtu na mdogo wake hahahaa ila phindile anaonekana ni mapepe sana.
 
Pale Nombuso anaongea kwenye simu na mama yake alionekana kutokufuraia kabisa yale maongezi pengine anajua alishauza mechi kitambo kwa Mxolisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…